Wyniki wyszukiwania dla: yanga

Zapętlaj MAGOLI YOTE: YANGA SC 3-2 KAGERA SUGAR (TPL – 11/04/2019)

MAGOLI YOTE: YANGA SC 3-2 KAGERA SUGAR (TPL – 11/04/2019)

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) Yanga SC wameendeleza rekodi yao ya ushindi kwenye uwanja wao wa nyumbani wa CCM Kirumba Jijini Mwanza baada ya leo kuwachapa Kagera Sugar mabao 3-2. Licha ya kutanguliwa, Yanga walitoka nyuma na kusawazisha kwa bao la kujifunga la Kassim Khamis dakika ya 35, kisha kufunga la pili dakika ya 48 kupitia kwa Heritier Makambo na la tatu likifungwa kwa ‘free-kick’ na Thaban Kamusoko dakika ya 72. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na Paul Ngaly...

2019.04.11
Zapętlaj AZAM FC 0-1 YANGA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 29/04/2019)

AZAM FC 0-1 YANGA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 29/04/2019)

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Goli pekee la ushindi kwa Yanga limefungwa na Mrisho Ngasa dakika ya 13 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu baada ya mabeki wa Azam kushindwa kujipanga sawasawa. Licha ya Azam FC kujibu kwa kufanya mashambulizi mengi hasa kipindi cha pili, haikuweza kusawazisha bao hilo huku ikipoteza nafasi kadhaa za wazi ikiwemo ya dakika ya 84 kupitia kwa Danny Lyanga a...

2019.04.29
Zapętlaj Goli pekee la Mrisho Ngasa: Azam FC 0-1 Yanga SC (TPL – 29/04/2019)

Goli pekee la Mrisho Ngasa: Azam FC 0-1 Yanga SC (TPL – 29/04/2019)

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Goli pekee la ushindi kwa Yanga limefungwa na Mrisho Ngasa dakika ya 13 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu baada ya mabeki wa Azam kushindwa kujipanga sawasawa. Licha ya Azam FC kujibu kwa kufanya mashambulizi mengi hasa kipindi cha pili, haikuweza kusawazisha bao hilo huku ikipoteza nafasi kadhaa za wazi ikiwemo ya dakika ya 84 kupitia kwa Danny Lyanga a...

2019.04.29
Zapętlaj Alichosema Kocha Yanga Baada ya Kutolewa FA na Lipuli FC, Iringa

Alichosema Kocha Yanga Baada ya Kutolewa FA na Lipuli FC, Iringa

Subscribes: YANGA Leo imeyaaga mashindano rasmi ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kukubali kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Lipuli mchezo uliochezwa uwanja wa Samora. Lipuli iliyo chini ya Kocha Sele Matola ilitumia dakika 45 kuumaliza mchezo kwani walikwenda mapumziko wakiwa mbele kwa mabao mawili hali iliyofanya kuwapa nguvu ya kurejea kipindi cha pili kulinda mabao yao hayo. Dakika ya 29 Paul Nonga aliandika bao baada ya mlinda mlango wa Yanga Klaus Kindoki kutema mpira uliopigwa na ...

2019.05.06
Zapętlaj MAGOLI: YANGA SC 2-1 TANZANIA PRISONS  (TPL - 02/05/2019)

MAGOLI: YANGA SC 2-1 TANZANIA PRISONS (TPL - 02/05/2019)

Yanga wameendelea kufanya kweli kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja Uhuru Dar es Salaam. Papy Tshishimbi ndiye aliyeanza kuifungia Yanga bao la kwanza dakika ya 23 akimalizia kwa kichwa mpira wa adhabu uliopigwa na Ibrahim Ajibu. Prisons walisawazisha dakika ya 33 kupitia kwa Ismail kada lakini Heritier Makambo akakamilisha kazi ya pointi tatu kwa kuifungia Yanga bao la pili dakika ya 66 akimaliz...

2019.05.02
Zapętlaj Biashara United 1-0 Yanga SC: Goli la Biashara (TPL - 10/05/2019)

Biashara United 1-0 Yanga SC: Goli la Biashara (TPL - 10/05/2019)

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC wamekumbana na kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Biashara United katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Karume mjini Musoma. Bao pekee la Biashara limefungwa na Tariq Seif dakika ya 9 ya mchezo, na kudumu hadi mwisho wa mchezo, huku mchezaji wa Biashara United Lenny Kisu akitolewa kwa kadi nyekundu dakika za majeruhi baada ya kutokea vurugu zilizohusisha wachezaji wa timu zote mbili. Matokeo hayo yanaifanya Biashara United kufikisha poi...

2019.05.10
Zapętlaj ALLIANCE FC 1-1 YANGA SC (P:3-4): MAGOLI NA MIKWAJU YA PENATI (ASFC - 30/3/2019)

ALLIANCE FC 1-1 YANGA SC (P:3-4): MAGOLI NA MIKWAJU YA PENATI (ASFC - 30/3/2019)

Yanga SC imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kuitupa nje Alliance FC ya jijini Mwanza kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Yanga ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Heritier Makambo dakika ya 38 akimalizia pasi ya Pius Buswita, lakini Alliance wakasawazisha kipindi cha pili kupitia kwa Joseph James akimalizia mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na Godlove Mdumule dakika ya 62. B...

2019.03.30
Zapętlaj Chidinma - Yanga  (Offical Video)

Chidinma - Yanga (Offical Video)

Get 'Yanga' here: Follow Chidinma on: Instagram: Twitter: @OfficialMissDK Facebook: (C) 2018 40fied Music Company Managed by Inglemind....

2018.05.01
Zapętlaj BIASHARA UNITED 1-0 YANGA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL – 10/05/2019)

BIASHARA UNITED 1-0 YANGA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL – 10/05/2019)

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC wamekumbana na kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Biashara United katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Karume mjini Musoma. Bao pekee la Biashara limefungwa na Tariq Seif dakika ya 9 ya mchezo, na kudumu hadi mwisho wa mchezo, huku mchezaji wa Biashara United Lenny Kisu akitolewa kwa kadi nyekundu dakika za majeruhi baada ya kutokea vurugu zilizohusisha wachezaji wa timu zote mbili. Matokeo hayo yanaifanya Biashara United kufikisha poi...

2019.05.10
Zapętlaj LIPULI FC 2-0 YANGA SC; FULL HIGHLIGHTS (NUSU FAINALI ASFC - 6/5/2019)

LIPULI FC 2-0 YANGA SC; FULL HIGHLIGHTS (NUSU FAINALI ASFC - 6/5/2019)

Mabingwa wa zamani wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Yanga SC wametupwa nje ya michuano hiyo msimu huu baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Lipuli. Yanga imeyaaga mashindano hayo katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa, mabao ya Lipuli yakifungwa na Paul Nonga dakika ya 27 na Jimmy Shoji dakika ya 39. Ushindi huo unaipeleka Lipuli fainali ambako itakutana na Azam FC kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi....

2019.05.06
Zapętlaj Yanga (Idols SA) - Promised Land  [Feat. Amanda Black & Soweto Gospel Choir] (Official Audio)

Yanga (Idols SA) - Promised Land [Feat. Amanda Black & Soweto Gospel Choir] (Official Audio)

Yanga presents the official audio to Promised Land, featuring Amanda Black and Soweto Gospel Choir. Available to download/stream via: © 2019 Gallo Record Company Subscribe here: - Digital distribution: ...

2019.04.05
Zapętlaj MWENYEKITI Mpya YANGA Huyu Hapa, ACHAGULIWA Kwa KISHINDO!

MWENYEKITI Mpya YANGA Huyu Hapa, ACHAGULIWA Kwa KISHINDO!

MWENYEKITI Mpya YANGA Huyu Hapa, ACHAGULIWA Kwa KISHINDO! Klabu ya Yanga imemchagua Dkt. Mshindo Msolla kuwa mwenyekiti wake huku Fredrick Mwakalebela akishinda katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo uliofanyika leo Jumapili Mei 5, 2019 kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi Oysterbay Dar es salaam, Dkt. Msola amepata kura 1,276 akimshinda mpinzani wake Dkt. Jonas Tiboroha aliyepata kura 60. #MWENYEKITIYANGA #YANGASC Watch More Videos here: Watch More Videos here:...

2019.05.05
Zapętlaj MAGOLI: LIPULI FC 2-0 YANGA SC (NUSU FAINALI ASFC - 06/05/2019)

MAGOLI: LIPULI FC 2-0 YANGA SC (NUSU FAINALI ASFC - 06/05/2019)

Mabingwa wa zamani wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Yanga SC wametupwa nje ya michuano hiyo msimu huu baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Lipuli. Yanga imeyaaga mashindano hayo katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa, mabao ya Lipuli yakifungwa na Paul Nonga dakika ya 27 na Jimmy Shoji dakika ya 39. Ushindi huo unaipeleka Lipuli fainali ambako itakutana na Azam FC kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi....

2019.05.06
Zapętlaj HALI ILIVYO KWENYE UCHAGUZI YANGA

HALI ILIVYO KWENYE UCHAGUZI YANGA

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania....

2019.05.05
Zapętlaj Yanga - Catch Me [Feat. Paxton] (Official Audio)

Yanga - Catch Me [Feat. Paxton] (Official Audio)

Yanga presents the official audio to Catch Me, featuring Paxton. Available to download/stream via: © 2019 Gallo Record Company Subscribe here: - Digital distribution: ...

2019.05.10
Zapętlaj MASTAA 13 WANAOTEMWA YANGA Washtua / Uongozi Mpya Wakutana na Zahera

MASTAA 13 WANAOTEMWA YANGA Washtua / Uongozi Mpya Wakutana na Zahera

MASTAA 13 WANAOTEMWA YANGA Washtua / Uongozi Mpya Wakutana na Zahera KAMA Wewe ni mchezaji mzawa na unataka kusaini Yanga usiote ndoto za milioni 50 wala milioni 100 utakuwa unajisumbua. Dau la safari hii halizidi sh milioni 30 ndiyo msimamo wa Kocha Mwinyi Zahera na uongozi mpya Yanga. #YANGASC Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter....

2019.05.11
Zapętlaj Magoli yote Lipuli FC 2-0 Yanga SC Azam sports federation Cup #Kamwenee

Magoli yote Lipuli FC 2-0 Yanga SC Azam sports federation Cup #Kamwenee

Mchezo wa Azam sports federation Cup uliochezwa katika uwanja wa samora iringa kati ya Lipuli FC na Yanga SC umemalizika kwa timu ya Lipuli kuiondoa Yanga kwa goli 2-0 na kutinga katika hatua ya fainali na kuandika historia mpya kwa mara ya kwanza. Mabao ya Lipuli yamefungwa dakika ya 27 na Paul nonga huku goli la pili likifungwa na Jimmy shoji dakika ya 38 na kukata ndoto za Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya Azam sports federation Cup. __ Harakati za Bongo is an online magazine ...

2019.05.06

 

Zobacz youtube statystyki yanga licznik subów oraz filmy i powiązane video w jakości hd. Sprawdź rozwój kanału, wzrost popularności, dzienny przyrost i licznik subskrypcji online. Oszacuj yanga zarobki z yt na podstawie zgromadzonych danych.

Losowe Video